Highly talented Tanzanian artist and WCB Wasafi signee, Mbosso has drops the official Video of this incredible song tagged “Sitaki.”
This impressive video was directed by IVAN which was officially released on the 16th June 2023.
Watch video below!.
LYRICS
Mimi wewe mimi ntakufa na wewe
Ni baraka za mungu na malaika
Zimefanya mi nawe tujuane
Sinashaka maana imeandikwa
Ndege warukao wafanane
Sisikii la muadhini wala la mnadi swala
Tumelishana ya mini kwa dua sio kafara
Sio wanyuzi tisini wala buku shing’dala
Mmbo ya kuzini zini tuwe halali twahara
Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza
Na kama changuoni ndo kikulacho mi huyu kanimeza
CHORUS
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
VERSE 2
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ooh usingizi wangu zeze la kitandani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza
Na kama changuoni ndo kikulacho mi kwangu kanimeza
CHORUS
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
OUTRO
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Ma ma ma ma kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Mwa mwa mwa kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
mbosso sasa nimsanii kukubwa sana naana endelea kupepea uyoooo! mm shabik kindakindak wa mboss