Harmonize, a renowned Tanzania singer and songwriter, comes through with another hot-blowing hit track called “Hujanikomoa.”
the irresistible track mentioned previously was taken from him 17-tracks album project, “Afro East” was released on the 14th March 2020 through Konde Music Worldwide.
if you love listening to enticing music, this intriguing hit track definitely worth a place on your music collections.
Enjoy and Download!
DOWNLOAD MP3
LYRICS
Hii hapa sauti ya Konde Boy mjeshi
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Eti badala ya kujenga anabomoa
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Badala ya kujenga anabomoa
Eti mapenzi hayalazimishwi
Tena ni siri ya watu wawili
Wala sikuwa mbishi
Alivyonikata kimwili
Asa jana nipo kwa mama Winnie
Napiga zangu chai vitumbua
Eti kasambaza za chini chini
Mie bado ninamsumbua
Oooh mwambieni dada yenu hajanikomoa
Eti badala ya kujenga anabomoa
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Ah badala ya kujenga ana
Dodo style, eeh Mudi mnyama
Msalimie Jengo tamu
Eeh wapi mchachambo mchachambo
Mwambie chibaba afagie njia wanajeshi tunapita
Asa mguu pande mguu pande
Twende mguu sawa mguu sawa
Eeh mguu pande mguu pande
Mguu sawa mguu sawa
Ruka kijeda kijeda
Wahuni kijeda kijeda
Asa jump kijeda kijeda
Gwaride la kijeda kijeda
Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa
Eti badala ya kujenga unabomoa
Bosi mwenye bajaji hujanikomoa
Badala ya kujenga unabomoa
Chombo imelala gereji
Mie jana sijakula vichwa
Umetuma bonge la meseji
Unataka pesa jua tu ni kichwa
Mi nafanya kazi kwa shida
Nakesha tena silali
Unachukulia barida
Kwa nguvu unadai salary
Muda mwingine niwabebe ndugu zako
Ooooh ooooh ndugu zako
Mwisho wa wiki unataka pesa zako
Ooooh ooooh pesa zako
Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa
Maana badala ya kujenga unabomoa
Bosi mwenye bajaji hujanikomoa
Eti badala ya kujenga
Wazee wa chafu tatu(Mama)
Chafu tatu(chinja)
I say chafu tatu, chafu tatu
Na stima kei ndani(Wahuni)
Kei ndani (Machizi boti)
Ana dume ndani(Duke