• Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
Sheldox
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
No Result
View All Result
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
No Result
View All Result
Sheldox
No Result
View All Result
  • Music
  • Videos
  • Album
  • Mixtape
  • News
ADVERTISEMENT

Zuchu – Mwambieni

Mwambieni by Zuchu

jakar by jakar
- Wed, May 31, 2023 | 11:34 pm
0
x bb T

x bb T

0
SHARES

Mwambieni is an amazing and well enhanced bongo-flava single created by a multi-Talented singer from Tanzania called, Zuchu.

ADVERTISEMENT

This tremendously composed music was officially released on 20 January 2022 through the label, WCB Wasafi which is owned by Diamond Platnumz.

We would like you to add this undeniable hit song to your playlist, you won’t regret it yuh.

ADVERTISEMENT

Listen up below!.

DOWNLOAD MP3

LYRICS

Mhhh mh mh

Mhhh mh mhhh

Mhh mh mh

Mhh

Eeeeeh kaja omba nirudia

Kazirejesha salam

Zamani kakumbukiaa

Ameumisi utamu

Kaacha kopa kalamba garasa, kaishiwa masikini

Mpeni taarifa za beti mkwasa mi simkumbuki sini

Heee mwambieni mwambieni

Mali yake ishaliwa

Ahaa apunguze kampeni

Jimbo lishachukuliwa

Hehee! mwambieni mwambieni

Mali yake ishaliwa

Aha apunguze kampeni

Jimbo lishachukuliwa

Weeh! kabaki mbe (Mbe arijojo mbembe)

Hatarii mbe arijojo mbe

Kaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe)

Yuko chalichali mbe arijojo mbe

Mbe mbe mbe

Alidhani ameniadhiri

Alidhani amenikomoa

Mungu akanipa msitiri

Alonipoza nikapoa

Aah! penzi kalijaza ndindindi

Kanimwagia mwemweremwemwere

Pole ya kwako kidingi

Wa kudandia ngenderengedere

Simu za usiku wa saa sita (Aka staki)

Kuni dm insta (Aka staki)

Kutwa kujikomentisha (Aka staki)

Kujitumisha vipicha (Aka staki)

Hee mwambieni mwambieni

Mali yake ishaliwa

Aha apunguze kampeni

Jimbo lishachukuliwa

Hehee mwambieni mwambieni

Mali yake ishaliwa

Aha apunguze kampeni

Jimbo lishachukuliwa

Weeh! kabaki mbe

Mbe arijojo mbembe hatarii

Mbe arijojo mbe

Kaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe)

Yuko chalichali mbe arijojo mbe

Hee kabaki mbeee (Mbe arijojo mbembe)

Si wa mbele wala nyuma (Mbe arijojo mbe)

Si wa kuvutwa sukuma (Mbe arijojo mbembe)

Inakuuma eeeeh (Mbe arijojo mbe)

Twende kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti

Kikiti kikiti

Kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti

Kikiti-kikiti

Twende bah

Skoroba bah yani bah

Yani bah skoroba bah

Yani bah aweeh

Hahaaaaa

(Kamixlizer)

ShareTweetSend
ADVERTISEMENT
Previous Post

Rayvanny – I Miss You ft Zuchu

Next Post

Zuchu – Mahaba Ndi Ndi (Jingle)

Related Posts

Zuchu – Nani Remix ft Innoss’B

Zuchu – Nani Remix ft Innoss’B

...

Read more
Zuchu – Nani

Zuchu – Nani

...

Read more
x bb T

Zuchu – Fire

...

Read more
x bb T

Zuchu – Jaro

...

Read more
n

Zuchu – Maajab

...

Read more
x bb T

Zuchu – Mahaba Ndi Ndi (Jingle)

...

Read more
x bb T

Rayvanny – I Miss You ft Zuchu

...

Read more
x bb T

Zuchu – Kitu ft Bontle Smith, Tyler ICU

...

Read more
x bb T

Mbosso – For Your Love ft Zuchu

...

Read more
x bb T

Spice Diana – Upendo ft Zuchu

...

Read more

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending🔥🔥

Jay Gold – Living Legend Album

Jay Gold – Sorosoke Werey

...

Read more

Rema – Freestyle EP Download

...

Read more

Ruger – One Shirt ft Rema & D’Prince

...

Read more
Big Nuz – Ngeke ft DJ Yamza

Big Nuz – Ngeke ft DJ Yamza

...

Read more
Portable – Ika of Africa Album

Portable – Anonymous Eyon Pablo

...

Read more
DJ Tunez & J Anthoni – All You Need EP

DJ Tunez – River ft J Anthoni

...

Read more

Rema – Bounce

...

Read more
Sarkodie – JAMZ Album

Sarkodie – She Bad ft Oxlade

...

Read more
Twest – Realest

Twest – Realest

...

Read more
GuiltyBeatz – I’m Good ft Hamzaa & Ms Banks

GuiltyBeatz – I’m Good ft Hamzaa & Ms Banks

...

Read more
ADVERTISEMENT
DMCA.com Protection Status
  • All Profiles
  • Contact Us
  • About Us
  • Privacy Policy

© 2022 SheldoX

No Result
View All Result
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News

© 2022 SheldoX