“Nimepona” Is another mind-blowing and smashing pop single created by a tremendously talented Tanzanian singer called, Ibraah.
And this amazing wave was officially released on 3rd March 2023 through the label, Ziiki Media.
We would like you to add this undeniable hit song to your playlist, you won’t regret it yuh.
Listen up below!.
DOWNLOAD MP3
LYRICS
Macho yangu yanatamani kukuona
Ila moyo umegoma
Umecheza na hisia zangu
kumbe si fungu nilichagua koroma
Mi nashangaa macho yanatamani kukuona
Ingali mabaya yalishuhudia
Nakidogo nlickokua nacho ndo kikafanya ukanikimbia
Yan kama nilichomwa na mwiba maa
Maumivu yakanipa shida naa
Siungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu weeh
Mana uliyafanya sio yakawaida maa
Je ungeniona cha roho kikibana
Nikajikokota uku nikimuomba mungu wangu kutwa nikuonee
Sio kwa ubayaaa
Nmejiuguza na nimepona
Mmh wewe
Nimejiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nimejiuguza na nimepona
Yanilitesa ila sijafaa
Nimejiuguza na nimeponaa
Uuh yeeeeh uuuuuh!
We ndo uliwish nipitie mabaya
Moyo wako si umejenga chuki sawa sawa
Changu kidege kimeota mbawa
Haujaniuza bure bure umenigawa
Nenda utapata anaekupenda wenda utampenda haayaa
Mi kosa langu kukupenda ukaniona mwana kwenda haaayaaaa
Nilivyoongeza upendo mabaya ulifanya dhairi kwa vitendo
Kumbe ziro malengo kwangu ulifollow tendo
Zile baby baby we kumbe ulinizuga baby
Yani kama nilichomwa na mwiba maa
Maumivu yakanipa shida naa
Siungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu wee
Mana ulifanya sio yakawaida maa
Je ukiniona cha roho kikibana
Nikajikokota huku nikimuomba mungu wangu kutwa nikuonee