• Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
Sheldox
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
No Result
View All Result
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
No Result
View All Result
Sheldox
No Result
View All Result
  • Music
  • Videos
  • Album
  • Mixtape
  • News

Harmonize – Hujanikomoa

Hujanikomoa by Harmonize

Amos Ayomide by Amos Ayomide
- Fri, Dec 8, 2023 | 3:20 pm
0
Harmonize – Hujanikomoa

Harmonize – Hujanikomoa

0
SHARES

Harmonize, a renowned Tanzania singer and songwriter, comes through with another hot-blowing hit track called “Hujanikomoa.”

the irresistible track mentioned previously was taken from him 17-tracks album project, “Afro East” was released on the 14th March 2020 through Konde Music Worldwide.

if you love listening to enticing music, this intriguing hit track definitely worth a place on your music collections.

Enjoy and Download!

DOWNLOAD MP3 

LYRICS

Hii hapa sauti ya Konde Boy mjeshi

Mwambieni dada yenu hajanikomoa

Eti badala ya kujenga anabomoa

Mwambieni dada yenu hajanikomoa

Badala ya kujenga anabomoa

Eti mapenzi hayalazimishwi

Tena ni siri ya watu wawili

Wala sikuwa mbishi

Alivyonikata kimwili

Asa jana nipo kwa mama Winnie

Napiga zangu chai vitumbua

Eti kasambaza za chini chini

Mie bado ninamsumbua

Oooh mwambieni dada yenu hajanikomoa

Eti badala ya kujenga anabomoa

Mwambieni dada yenu hajanikomoa

Ah badala ya kujenga ana

Dodo style, eeh Mudi mnyama

Msalimie Jengo tamu

Eeh wapi mchachambo mchachambo

Mwambie chibaba afagie njia wanajeshi tunapita

Asa mguu pande mguu pande

Twende mguu sawa mguu sawa

Eeh mguu pande mguu pande

Mguu sawa mguu sawa

Ruka kijeda kijeda

Wahuni kijeda kijeda

Asa jump kijeda kijeda

Gwaride la kijeda kijeda

Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa

Eti badala ya kujenga unabomoa

Bosi mwenye bajaji hujanikomoa

Badala ya kujenga unabomoa

Chombo imelala gereji

Mie jana sijakula vichwa

Umetuma bonge la meseji

Unataka pesa jua tu ni kichwa

Mi nafanya kazi kwa shida

Nakesha tena silali

Unachukulia barida

Kwa nguvu unadai salary

Muda mwingine niwabebe ndugu zako

Ooooh ooooh ndugu zako

Mwisho wa wiki unataka pesa zako

Ooooh ooooh pesa zako

Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa

Maana badala ya kujenga unabomoa

Bosi mwenye bajaji hujanikomoa

Eti badala ya kujenga

Wazee wa chafu tatu(Mama)

Chafu tatu(chinja)

I say chafu tatu, chafu tatu

Na stima kei ndani(Wahuni)

Kei ndani (Machizi boti)

Ana dume ndani(Duke

ShareTweetSend
Previous Post

Abigail Chams – Closer ft Harmonize

Next Post

Harmonize – Body ft Phyno

Related Posts

Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Personal Trainer

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Hallelujah

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Best Woman

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Side Niggah

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Boss

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Wangu Mimi

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Sijui

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

...

Read more
Harmonize – Sijalewa

Harmonize – Sijalewa

...

Read more
Harmonize – Anajikosha

Harmonize – Anajikosha

...

Read more

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending🔥🔥

Fancy Gadam – Ki Joeye

Fancy Gadam – E Kwa Kwa ft Top Line

...

Read more
Fireboy DML – Peru Remix ft Ed Sheeran

Fireboy DML – Peru Remix ft Ed Sheeran

...

Read more
20ty Soundz – Isimo ft Ezase Thupa

Msamaria – Chase ft Ezase Thupa, Busta 929, Djy Vino, Shortgun & Lorenzo

...

Read more
2Baba – Smile

2Baba – Smile

...

Read more
Zoro – Waka Waka Moza Remix ft Yaba Buluku Boyz, Preck, Nelson Tivane & DJ Tarico

Zoro – Waka Waka Moza Remix ft Yaba Buluku Boyz, Preck, Nelson Tivane & DJ Tarico

...

Read more
Runtown – Lagos To Kampala ft Wizkid

Runtown – Tell Me What You Want ft Gemini Major

...

Read more
Rotimi – Make You Say Video ft Nektunez

Rotimi – Make You Say Video ft Nektunez

...

Read more
Diamond Jimma – Jackpot

Diamond Jimma – Nature

...

Read more
DIDI – Craze ft Zlatan

DIDI – Craze ft Zlatan

...

Read more
Senth – Dagger Video

Senth – Dagger Video

...

Read more
DMCA.com Protection Status
  • All Profiles
  • Contact Us
  • About Us
  • Privacy Policy

© 2022 SheldoX

No Result
View All Result
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News

© 2022 SheldoX