• Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
Sheldox
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
No Result
View All Result
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News
No Result
View All Result
Sheldox
No Result
View All Result
  • Music
  • Videos
  • Album
  • Mixtape
  • News

Harmonize – Anajikosha

Anajikosha by Harmonize

Amos Ayomide by Amos Ayomide
- Mon, Dec 11, 2023 | 8:05 pm
0
Harmonize – Anajikosha

Harmonize – Anajikosha

0
SHARES

Harmonize, an versatile Tanzania rap sensation, singer, and songwriter, introduces a stunning new hit track titled “Anajikosha.”

This impressive song was released on the 9th January 2020 through Konde Music Worldwide.

if you like good music, you’ll undoubtedly add this jaw-dropping impressive captivating song to your playlist.

Enjoy and Download!

DOWNLOAD MP3 

LYRICS

Ahaahahaha Jeshi, awiii!

(Daxo Chali)

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Jumamosi kakesha analewa

Jumapili kanisani, anajikosha

Eti sipendi vya kupewa

Bango analipa shabani, anajikosha

Shoga jana nilinoga

Na nywele yako umetisha, anajikosha

Nimesharudi naoga

Jioni nitairudisha, anajikosha

Kwanza hata usitume tena

Tayari nishazila, anajikosha

Hasa baby nitakula nini

Zilikuwaga ni hasira, anajikosha

Penzi bichi makele bwana

Nimehama nipo mbweni, anajikosha

Tena huku ni baridi sana

Huhitaji hata feni, anajikosha

Awii, awaaa

Awii, awaaa

Awii, awaaa

Awii

Asa lelele, lelele lelelelee

Lelele lelelelee

Tuimbe tena, lelele lelelelee

Lelele lelelelee

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Baby baby umeniweza kwa bedi

Simkumbuki Juma wala Mohamedi

Ila mbona simu yake sasa

Hataki nijue password, anajikosha

Nitanyoosha chuma

Pengine shida mtandao, anajikosha

Nikipiga kwa watoa huduma

Maelezo ni kibao, anajikosha

Mi siwezagi za kucheza cheza

Na mshipa ngiri, anajikosha

Mara ghafla kaihama meza

Anakimbia ya pili, anajikosha

Hio ndinga ilikamatwa

Nikampa leseni, anajikosha

Kumbe aliena kuvimba Tabata

Na kademu pembeni, anajikosha

Awii, awaaa

Awii, awaaa

Awii, awaaa

Awii

Asa lelele, lelele lelelelee

Lelele lelelelee

Tuimbe tena, lelele lelelelee

Lelele lelelelee

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Yebo, yebo, yebo

ShareTweetSend
Previous Post

Harmonize – I Can’t Stop

Next Post

Dj Cora – Ele Pa Emi o

Related Posts

Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Personal Trainer

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Hallelujah

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Best Woman

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Side Niggah

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Boss

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Wangu Mimi

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Sijui

...

Read more
Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

Harmonize – Single Again Remix ft Nkosazana Daughter

...

Read more
Harmonize – Sijalewa

Harmonize – Sijalewa

...

Read more
Harmonize – I Can’t Stop

Harmonize – I Can’t Stop

...

Read more

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending🔥🔥

DJ Boat – Old School Love ft Victony

DJ Boat – Old School Love ft Victony

...

Read more
Shallipopi – Oscroh (Pepperline)

Shallipopi – Oscroh (Pepperline)

...

Read more
C Blvck – Ogologo ft Naira Marley

C Blvck – Ogologo ft Naira Marley

...

Read more
Femi Large – Ngifunani ft MaWhoo

Femi Large – Ngifunani ft MaWhoo

...

Read more
Minister GUC – Yeshua

Minister GUC – Yeshua

...

Read more
Serge Ibaka – ART Album

Serge Ibaka – You Got it ft Oxlade & Joe Dwet File

...

Read more
Barry Jhay – Don Pablo

Barry Jhay – Don Pablo

...

Read more
Fave – Beautifully

Fave – Beautifully

...

Read more
Qdot – Alhamdulillah (Thank God)

Qdot – Alhamdulillah (Thank God)

...

Read more
JayO – Often

JayO – Often

...

Read more
DMCA.com Protection Status
  • All Profiles
  • Contact Us
  • About Us
  • Privacy Policy

© 2022 SheldoX

No Result
View All Result
  • Music
    • Cover
    • Acoustic
    • Ghana
    • South Africa
    • Tanzania
    • Uganda
    • Kenya
    • Cameroon
    • Jamaican
    • Unreleased Songs
    • Zambia
    • Highlife
    • Gospel
  • Videos
  • Album
    • EP
  • Mixtape
  • News

© 2022 SheldoX